Audio Audio | B Gway Ujinga Mp3
Audio | B Gway - Ujinga Mp3 Download, Audio | B Gway - Ujinga Mp3 Download, Audio | B Gway - Ujinga Mp3 Download, B Gway - Ujinga, Ujinga Siendekezi Ujinga #Bway
B Gway Ujinga Lyrics
Lg my Gee hatuendekezi ujinga
Niuze figo kisa i phone me ni mjinga
Wacha masihara siendekezi ujinga
Nikaitafute ndoa kwa umri wangu uo si ujinga
Wacha masihara siendekezi ujinga
Ujinga....ujinga....ujinga... siendekezi ujinga
Ujinga....ujinga....ujinga... siendekezi ujinga
Hapa kwangu me kufua kudeka kwa baba yako
Na hivyo vikucha vyako kabandike kwa mama yako
Kudekezea kote huku alafu badae nikacheat
Wacha masihara siendekezi ujinga
Yani nilipe zangu kodi alafu punguza sauti ya muziki
Wacha masihara siendekezi ujinga
Ujinga....ujinga....ujinga... siendekezi ujinga
Ujinga....ujinga....ujinga... siendekezi ujinga
Ujinga....ujinga....ujinga... siendekezi ujinga
Ujinga....ujinga....ujinga... siendekezi ujinga
Me nna roho ya korosho nizingue nikupige kidosho
Roho ya korosho nizingue nikupige kidosho
Me nna roho ya korosho nizingue nikupige kidosho
Roho ya korosho nizingue nikupige kidosho
Lg my Gee B. B B