B2K Mnyama - Wewe Tu Mp3 Download

2 years ago By B2K Mnyama 4.1K
Are you a music lover looking for the latest track to add to your playlist? Look no further. Get ready for an unforgettable musical experience as we present a song by B2K Mnyama Wewe Tu Mp3.

Audio B2K Mnyama Wewe Tu Mp3


B2K Mnyama -  Wewe Tu

B2K Mnyama -  Wewe Tu mp3, Audio | B2K Mnyama -  Wewe Tu Mp3 Download, Talented Tanzanian Bongo Flava recording artist , singer, and songwriter, B2k is here with a song titled, Wewe Tu! Enjoy. Nyimbo Mpya za B2K

B2K Mnyama Wewe Tu Lyrics

Tujihadhari beiby
Ukijua umependwa wewe mpweke wewe
Tumia nafasi beiby
Ukijua umependwa nawe upende

Kwa style hii
Utamjuaje mpenzi anayekupenda wewe
Tumia nafasi hii beiby
Ujifunze kupendwa, utaishi mwenyewe

Unapenda sana kununa 
Utaenda saa ngapi?
Na nikirudi salamu hakuna
Tunapendwa wangapi?

Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Kuna siku nilichelewa kuruta
Hujui nilikuwa wapi, aah we sema
Hujui nilikufanyia kusudi 
Ina maana dhamani yangu huioni

Una shida nami kwani?
Mbona sielewi mami
Wakunieleza ni mi mami
Nijue unawaza ni?

Unapenda sana kununa 
Utaenda saa ngapi?
Na nikirudi salamu hakuna
Tunapendwa wangapi?

Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Mama naona naona
Mapenzi maji ya moto yananichoma
Mama mama, (Mama mama eeh....)
Roho inaniuma niuma 
Hata nisipofanya kosa wewe una nuna
Mama mama, (Mama mama eeh....)


Download Now 4.1K