Hanstone – Acha Lipite Mp3 Download

47da59b1a4e24ac0bd86d3f4323460c9 464 464
Released on Wednesday November 15 2023 " Hanstone - Acha Lipite " is another music track that you need to listen and add to your collection.

Hanstone - Acha Lipite

💡

Tip of the Day - Music

The Sukuma people have a popular traditional dance called Bugobogobo, where performers imitate the movements of different animals, including snakes and crocodiles, as part of their musical routines.

Hanstone – Acha Lipite mp3 download, Tanzanian recording artist, songwriter, singer, and Iokote hit song maker, Hanstone is here with song acha lipite, Enjoy

Hanstone Acha Lipite Lyrics

Mie samaki baridi Chozi langu bure tu lateketea saa ntafanya Nn na umesema nsijikune nsidiriki ata kuongea Mapenziiii!!!

Kma kuna mwalim anipeleke shule mie siweziii kila nnachofanya ni sawa na bureee

Mie mwenzako cjazoea kitu kidg unanfokea mie toto dogo cjanza tembea kiyochonimbizaaaaaaa!!!!!!!!!

Na lenye sura halikosi Kosogo unafaraga mithili ya mbogo huna kubwa huna ata dogo
Umazigizaga bando kwa Gogoo na mm cjaacha futa mkorogoo unanpimiaga nusu kwa robo
Chorus
Aty mm mshamba ww ndo wakunifunza mie labda mapenz cjui mhhh kudangaaa nkisema wanichamba ukiondoka unarudi asbh hapenkata zing zong zing zong ushanchapa fimbo fimbo ukankata shingo shingo mieeeee
Asha kazuru mandingo dingo shashinda kwa Ringo ringo mm nshamfika ukingo ukingooo enhh
Mie tabasamu langu kiliooo cjui wapi ntashika na leo zamu yaangu fagioo na mpini umekatika
Na lenye sura halikosi kisigoo unafuraga mithili ya mbogo huna kubwa huna ata dogo………………. Chorussss

Download

Stream or download the song Hanstone - Acha Lipite . This catchy new song, which has been trending for the past 1 year ago has received around views here on Nyimbo Mpya. Support good music by sharing it with your friends today for an unforgettable musical experience. You can also find more Music songs below.

Scroll back to top of page
New
Artists
Genre
Search