Tip of the Day - Music
Former President Julius Nyerere heavily influenced the music scene by promoting traditional African music and values, embedding Tanzanian identity into songs and artistic performances.
Harmonize – You Mp3 Download, Download Harmonize – You [Mp3 ], Harmonize – You Mp3 Download. Nyimbo za Harmonize
Harmonize You Lyrics
Mhhhh mhhh Yeeeh
Mikono Juu na Surrender, Acha Dunia ijue muuni nimependa
Wangapi walikuja wakaenda, mbona ni wewee
Mwenzako nahesabu kalenda, siku na masaa yanakwenda
Hebu fanya urudi nakupenda, basi nielewee eehh
Kitaniumbua kifo kifo nikiyafisha maradhi
Sikujua Before before, kumpata unaempenda ndio kazi
Nimejaribu kukuimbia haka kawimbo pengine labda utasikia
Ishara tosha kwamba najutia fanya unisamehe ni mambo ya ujana
Moyo unakufa ganzi nikifikiria mazito tuliyo yapitia
Yaliyo kufanya hata utaki kunisikia bado nahisi ni kama jana
Hakuna aliye kamilika hata unaye mdhani kuwa ni malaika
Bado anaweza kuwa shetani na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado haijafutika naamini siku itafika
Tumuite sheikh na ubani au tufunge ndoa kanisani..