Tip of the Day - Music
The Sukuma people have a popular traditional dance called Bugobogobo, where performers imitate the movements of different animals, including snakes and crocodiles, as part of their musical routines.
Kayumba Mazoea Mp3, Tanzanian recording artist and 2015 Bongo Star Search winner, Kayumba is here his 2018 songs titled Mazoea, Enjoy! Nyimbo Mpya za Kayumba
Kayumba Mazoea Lyrics
Ila mazoea
Aaaaagh aaahh
Oooooohuoh oooh
Mi Simba dume na kwako mnyonge
Kwako sijiwezi mpenzi nimekufa kioja
Umenifunga funga kujinasua siweziiiii
Umenifungia hirizi ya mapenzi kwako sitoki tenaa
Aiyoooooohuoh
Siku zinajongea aaah
Masaa yanakimbia kuwania, mbingu yasubilia yetu ndoa
Mi naweee
Ila penzi lanionea aaaaah
Kwako mnyonge mithili ya njiwa ah
Ila tavumilia japo moyo unaumia
Imani yetu moja najua
Wivuu tuu wanisumbua
Uuuuuuuh mepambwa kwa maua.wew
Imani yetu moja najua
Wivuu tuu wanisumbua
Uuuuuuuh mepambwa kwa maua.wewee!
Ila mazoea
Nawanaume nahofia
Japo mi ndo kidume kwako naumia
Mi Simba dume na kwako mnyonge
Oooooohuoh mazoea
Nawanaume nahofia
Japo mi ndo kidume kwako naumia
Mi Simba dume na kwako mnyonge
♪
Hiki kidudu mapenzi
Kishanitafuna sijiweziii
Kukukosa bora kitanzii
Hukumu yako naingojea
Nipe amani kipenzi
Mapenzi ya hofu siyawezi
Vyengine vipanya road
Roho yangu naihofia aaah
Usiudonyoe moyo (donyo donyo)
Nitaja kufa kihoro (onyo)
Usinipe mifupa kibogoyo (oyo Oyo)
Usiudonyoe moyo (donyo donyo)
Nitaja kufa kihoro (onyo)
Usinipe mifupa kibogoyo (oyo Oyo)
Imani yetu moja najua
Wivuu tuu wanisumbua
Uuuuuuuh mepambwa kwa maua.wewee!
Imani yetu moja najua
Wivuu tuu wanisumbua
Uuuuuuuh mepambwa kwa maua.wewee!
Ila mazoea
Nawanaume nahofia
Japo mi ndo kidume kwako naumia
Mi Simba dume na kwako mnyonge
Oooooohuoh mazoea
Nawanaume nahofia
Japo mi ndo kidume kwako naumia
Mi Simba dume na kwako mnyonge
Ila mazoea
Nawanaume nahofia
Japo mi ndo kidume kwako naumia
Mi Simba dume na kwako mnyonge
Usiudonyoe moyo Oyo yoh
Nitaja kufa kihoro Oyo yoh
Usinipe mifupa kibogoyo Oyo yoh
Mwenzako mi nnakasoro
Usiudonyoe moyo
Nitaja kufa kihoro
Usinipe mifupa kibogoyo
Mwenzako mi nnakasoro