Tip of the Day - Music
The annual Ngoma festivals, held in different regions, showcase the rich diversity of Tanzanian music, bringing together traditional groups and modern artists in a celebration of dance and sound.
Kusah ft D Love – Pole Mp3 Download, Download this 2020 love song from Kusah featuring D Love named “Pole”. Enjoy! Download All Songs From Kusah, Nyimbo Mpya za Kusah.
Kusah ft D Love Pole Lyrics
Sina makosa, mmh wanionea bure
Ati umepanga kunitoa roho
Na mambo ya dinner yalimkosha akanipenda bure
Ananipa mahaba nilivyo mroho
Sikumchota nilimbeba mazima mazima
Acha akasusu ninazo hata dawa za China
Nilimuomba busu akanivuta nimchimbe kisima
Kisha akaniruhusu nimkposti nimtag na jina kabisa
Na kama inauma nakupa pole
Nakupa pole, nakupa pole, nakupa po
Kama inauma pole
Nakupa pole, nakupa pole, nakupa pole
(Pole we eeh eh)
Sikumfukiza hata dawa upendo karidhia ah
Ooh nakafika nakapa dawa tena ametulia aah
Ulimchukiza kayanawa mapenzi kakimbia ah ah
Vile visa tabia mbaya hataki kurudia ah ah ah
Ulimtia uoga
Ati penzi halitonoga
Kaja hata sikuroga
Kadata na chuma mboga
Sikumchota nilimbeba mazima mazima
Acha akasusu ninazo hata dawa za China
Nilimuomba busu akanivuta nimchimbe kisima
Kisha akaniruhusu nimkposti nimtag na jina kabisa
Na kama inauma nakupa pole
Nakupa pole, nakupa pole, nakupa po
Kama inauma pole
Nakupa pole, nakupa pole, nakupa pole
Nakupa pole (Pole)
Kipya kinyemi naringa
Nichecheme nicheche che
Nakuwa zuzu kabisa
Nichecheme nicheche che
Katia hamira navimba
Nichecheme nicheche che
Nafanya navimba eeh
Nichecheme nicheche che