Macvoice – Sara Mp3 Download

Macvoice picha
Released on Wednesday November 15 2023 " Macvoice - Sara " is another music track that you need to listen and add to your collection.

Macvoice picha

💡

Tip of the Day - Music

The annual Ngoma festivals, held in different regions, showcase the rich diversity of Tanzanian music, bringing together traditional groups and modern artists in a celebration of dance and sound.

Macvoice – Sara, Young and Talent Bongo Flava recording artist signed under Next Level music, Macvoice is here with a brand new joint Sara. Nyimbo Mpya za Macvoice

Macvoice Sara Lyrics

Sei mio per sempre
So solo ti teamo mamamaamaa
Nimeongea Lugha ya kwenu
Sara Si tunaelewana, Teamo Tanto
Mi na wewe tunaendana
Tupate katoto hafcast, K
atuite baba na mama, 

Kakuacha peke yako Usiwe Peke yako, Sara hupendezi hivyo
Nikiona picha zako Yani mi Mwenzako Ninakuwa ndezi ivyo
Basi nipe moyo wako, Fanya niwe wako maana sijiwezi ivyo
Basi beba vitu vyako, italy kwako sara uje mbezi ivyo
Ohhhhooooo

Sara ooh x 4  

Nywele mpaka mgongonii sara, una tattoo kiunoni sara
 Amekuchora mkononi fala, asa kwanini anakuumizaa

Kwao wanalima korosho, ila ufundi wake michosho
Alikupendea posho, Sarah mi takupa moyo hadi kongosho
Hana fadhila mtemee, Najua ulimuonga mapene
Chumbani ananizi unene, ila sio miuno sebene
Sarah wowowohooooo, 
Sarah oooho

Kakuacha peke yako Usiwe Peke yako, Sara hupendezi hivyo
Nikiona picha zako Yani mi Mwenzako Ninakuwa ndezi ivyo
Basi nipe moyo wako, Fanya niwe wako maana sijiwezi ivyo
Basi beba vitu vyako, italy kwako sara uje mbezi ivyo
Ohhhhooooo

Sara ooh x 4  

Download

Stream or download the song Macvoice - Sara . This catchy new song, which has been trending for the past 1 year ago has received around views here on Nyimbo Mpya. Support good music by sharing it with your friends today for an unforgettable musical experience. You can also find more Music songs below.

Scroll back to top of page
New
Artists
Genre
Search