Music

Mbosso Ft Daimond Platnumz– Karibu Mp3 Download

maxresdefault 7 1
Released on Wednesday November 15 2023 " Mbosso Ft Daimond Platnumz– Karibu " is another music track that you need to listen and add to your collection.

Mbosso Ft Daimond Platnumz– Karibu Mp3 DOW

💡

Tip of the Day - Music

The annual Ngoma festivals, held in different regions, showcase the rich diversity of Tanzanian music, bringing together traditional groups and modern artists in a celebration of dance and sound.

Mbosso Ft Daimond Platnumz– Karibu Mp3 Download, Stream and Download this 2021 song from Wasafi team, Mbosso ft Diamond Platnumz the song tagged “Karibu” Enjoy!. Download All Diamond Songs and Mbosso Songs here.

Mbosso Ft Daimond Platnumz– Karibu Lyrics

abbah

ayolizer

ishafika saba sasa, tunakungojea

imebaki miezi miwili tuu, hebu siku sogea

tuna shauku na bashasha, ya kukupokea

sio mimi na mamayako tuu, na bibi anakuombea

mmmmmh
imani yangu inanituma, unanisikia baba yoo (baba yoyo)
na furaha yangu dongo kumung’unya, anapobugia mama yooo (mama yoyo)
naa dalili waziwazi, kuwa muda ushatawakari
natamani useme zawadi, Ila acha ninunue vigari
oooh Kuna shangazi, kibiti kwa mzee king Khar
ukiota meno ataleta viazi, ule mihogo uwe ngangari (ule mihogo uwe ngangari)
kwanza ntakupa jina gani (talala talalalala)
karibu duniani baba (talala talalalala)
kwetu furah isiyo kifani (talala talalalala)
Ila Kuna mengi duniani baba (talala talalalala)
mmmh kwa furah niliyo nayo, ningechinja ng’ombe kwa tambiko
Ila baba yako uwezo sina, pokea uji kwa kijiko
pookea mwanangu ayoyo
tena uwape na habari, waropokaji wapambe
we ni wangu wa halalli, wasije dhania ya nyange
dunia ni mafuriko mvua kote, wanadamu mioyo wa matope
ukitukanwa mwiko usiogope, jikaze mwana wa dangote
ooooh wasimuone, kimamaso wasimuone
wenye jicho la chuki, wasimuone mwanangu
ooooh wasimuone, kimasomaso wasimuone
wenye roho mbaya, kimasomaso wasimuone
sa ringisha tumbo ringa
sa beibi ringa
waonyeshe ringa
wadolishie ringa
sa ringisha tumbo ringa
aah ooh beib ringa
wao si wanazitoa ringa
asa wadolishie ringa
kwanza ntakupa jina gani talala talalalala
karibu duniani baaba
kwetu furaha isiyo kifani
kuna mengi duniani baba
lleo namremba mwanangu (aiyoyo kwa baby shower)
ooh rafikibkwa ndugu zangu (aiyoyo kwa baby shower)
furaha na uzazi wangu (aiyoyo kwa baby shower)
naringaringa na mwanangu (aiyoyo kwa baby shower)
aiyoyo kwa baby shower)
aiyoyo kwa baby shower)

Download

Stream or download the song Mbosso Ft Daimond Platnumz– Karibu . This catchy new song, which has been trending for the past 1 year ago has received around views here on Nyimbo Mpya. Support good music by sharing it with your friends today for an unforgettable musical experience. You can also find more Music songs below.

Scroll back to top of page
New
Artists
Genre
Search