Tip of the Day - Music
The Sukuma people have a popular traditional dance called Bugobogobo, where performers imitate the movements of different animals, including snakes and crocodiles, as part of their musical routines.
Mbosso – Nimekuzoea mp3 download, Mbosso – Nimekuzoea Mp3 Download, Mbosso – Nimekuzoea Mp3 Download. Nyimbo Mpya za Mbosso
Mbosso Nimekuzoea Lyrics
Hujaacha tobo uliloniachi ni bonge la tundu
Sina nyendo mama kaninunia nahisi gundu
Nakunywa gongo najisaidia nguoni aibu
Uu walongo kitanda changu ndio chooni
Wee ndio sababu uh uh wewe sababu uh uh
Buto mobimba na nzolela
Naumia sana nimekuzoea
Buto mobimba na nzolela (mama)
Naumia sana mama
Nimekuzoea ah
Mmh ndoto za ajabu
Kichwani unakuja wewe, sura yako
Nishasomewa vitabu bado vinasema wewe
Nikifa maiti yako yee hee
Aya aya aya aya
Machozi hayataki kukauka
Aya aya aya aya
Nafuta kushoto kulia yashuka
Aya aya aya aya
Na machozi hayataki kukauka mama
Aya aya aya aya
Utamu wa nanasi
Ghafla huwa mchungu sana
Ukinywa maji
Baby wangu wasiwasi
Nani kakuficha mama
Rudi basi iiii
Ah tajiri wa huzuni machozi kwangu bwelele
Upepo wa firauni umemkumba ngedele
Mifukoni mbuni vichenjichenji njenjere
Namaliza sabuni mdomo koma kelele
Buto mobimba na nzolela
Naumia sana nimekuzoea
Buto mobimba na nzolela (mama)
Naumia sana
Nimekuzoea ah
Mmh ndoto za ajabu
Kichwani unakuja wewe, sura yako
Nishasomewa vitabu bado vinasema wewe
Nikifa maiti yako yee hee
Aya aya aya aya
Machozi hayataki kukauka
Aya aya aya aya
Nafuta kushoto kulia yashuka
Aya aya aya aya
Na machozi hayataki kukauka mama
Aya aya aya aya
Moyo una (malenge lenge)
Nahema kwa shida (malenge lenge)
Biashara yangu ya mapenzi (malenge lenge)
Ni hasara si faida (malenge lenge)
Maazoea (malenge lenge)
Nimekuzoea (malenge lenge)
Aaah (malenge lenge)
Nimekuzoea (malenge lenge)