Tip of the Day - Music
Former President Julius Nyerere heavily influenced the music scene by promoting traditional African music and values, embedding Tanzanian identity into songs and artistic performances.
Whozu ft Rayvanny & Ntosh Gazi – Chawa Mp3, Whozu ft Rayvanny & Ntosh Gazi – Chawa Mp3 Download, Nyimbo za Whozu, Nyimbo za Rayvanny
Whozu Chawa Lyrics
Whola, whola
Wholla, wholla, wholla
Whola, whola
Wholla, wholla, wholla
Yewe namaaan!
(It’s S2kizzy beiby)
He si tuache au tuendelee
Mnaonaje tuwache? (We tuendeleee!)
He si tuache au tuendelee
Mnaonaje tuwache? (We tuendeleee!)
Muda wetu
Muda wetu wa kukimbia mbele
Aiyo woiyoo, aiyoo woyoo
Wiyoo woiyoo, aiyo woiyoo, woiyoo wee
Muda wetu
Muda wetu wa kukimbia mbele
Aiyo woiyoo, aiyoo woyoo
Aiyoo woiyoo, aiyoo woiyoo
Uyeee! Woza! Woza!
Woza! Woza!
Ah jioni ya leo, leo leo
Ah jioni ya leo, leo leo
Hey ha! Tunafukuza chawa
Chawa! Fukuza chawa, chawa
Shika hapa, wapi? Hapa!
Wee shika hapa, ah hapa
Weze shika hapa! Wapi huko? (Hapa)
Ah ah shika hapa wee, hapa!
Muda wetu
Muda wetu wa kuvuta kitu kali
Aiyo woiyoo, aiyo woiyoo
Aiyo woyoo, aiyoo woyoo, woyoo weee
Muda wetu
Muda wetu wa kufanya kwenye gari
Aiyo woiyoo, aiyo woiyoo
Aiyo woyoo, aiyoo woyoo, woyoo weee
Kimbia mbele, rudi nyuma
We tikisa wezele (Yewe namaan!)
Kimbia mbele, rudi nyuma
We tikisa wezele (Yebo yey woza)
Kimbia mbele, rudi nyuma
We tikisa wezele (I see yah we namaan!)
Kimbia mbele, rudi nyuma
We tikisa wezele (Yewe namaan!)
Kalala, nkalala kalala kalala
Kalala nayo!
Nkalala nkalala nkalala
Kalala na-na-na!
Kalala, nkalala kalala kalala
Kalala nayo!
Nkalala nkalala nkalala
Kalala na-na-na!
Leo leo, silali mwenyewe (Usikunywe pombe zangu wee)
Leo ntalala na wewe (Aiii chii!!)
Leo leo, silali mwenyewe (Usikule hela zangu)
Leo ntalala na wewe
Woza! Woza!
Woza! Woza!
Woza! Woza!
Woza! Woza!
Ah jioni ya leo, leo leo
Ah jioni ya leo, leo leo
Hey ha! Tunafukuza chawa
Chawa! Fukuza chawa, chawa
Cheza cheza (Cheza)
Cheza cheza (Cheza)
Cheza cheza (Cheza)
Cheza cheza (Cheza)
(It’s S2kizzy baby)