B2K Mnyama – Wewe Tu Mp3 Download

ab67616d0000b273cd4558ba0a06a721d6d5561e
Released on Wednesday November 15 2023 "B2K Mnyama - Wewe Tu " is another music track that you need to listen and add to your collection.

B2K Mnyama - Wewe Tu

💡

Tip of the Day - Music

The annual Ngoma festivals, held in different regions, showcase the rich diversity of Tanzanian music, bringing together traditional groups and modern artists in a celebration of dance and sound.

B2K Mnyama –  Wewe Tu mp3,  B2K Mnyama –  Wewe Tu Mp3 Download, Talented Tanzanian Bongo Flava recording artist , singer, and songwriter, B2k is here with a song titled, Wewe Tu! Enjoy. Nyimbo Mpya za B2K

B2K Mnyama Wewe Tu Lyrics

Tujihadhari beiby
Ukijua umependwa wewe mpweke wewe
Tumia nafasi beiby
Ukijua umependwa nawe upende

Kwa style hii
Utamjuaje mpenzi anayekupenda wewe
Tumia nafasi hii beiby
Ujifunze kupendwa, utaishi mwenyewe

Unapenda sana kununa 
Utaenda saa ngapi?
Na nikirudi salamu hakuna
Tunapendwa wangapi?

Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Kuna siku nilichelewa kuruta
Hujui nilikuwa wapi, aah we sema
Hujui nilikufanyia kusudi 
Ina maana dhamani yangu huioni

Una shida nami kwani?
Mbona sielewi mami
Wakunieleza ni mi mami
Nijue unawaza ni?

Unapenda sana kununa 
Utaenda saa ngapi?
Na nikirudi salamu hakuna
Tunapendwa wangapi?

Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Mama naona naona
Mapenzi maji ya moto yananichoma
Mama mama, (Mama mama eeh….)
Roho inaniuma niuma 
Hata nisipofanya kosa wewe una nuna
Mama mama, (Mama mama eeh….)


Download

Stream or download the song B2K Mnyama - Wewe Tu . This catchy new song, which has been trending for the past 1 year ago has received around views here on Nyimbo Mpya. Support good music by sharing it with your friends today for an unforgettable musical experience. You can also find more Music songs below.

Scroll back to top of page
New
Artists
Genre
Search