Download Lony Music Ft Dully Sykes – Sinyorita Remix
Tip of the Day - Music
The Sukuma people have a popular traditional dance called Bugobogobo, where performers imitate the movements of different animals, including snakes and crocodiles, as part of their musical routines.
RELATED: Lony Music Sinyorita
Lony Music Sinyorita Remix
Oyee
Kiukweli mama umeniwashia taa
Sijivungi umenikamataa
Maruani maruanii
Napandisha maruani
Na kama gori kipa umenidakaa (Yeye)
Wala unipeleki chakaaa
Majirani majirani
Watakubeba majirani (Uyeee heeee)
Tena ukiona urighiki unasemaa
Unanipatia ile sawa
Una size una shape una lips uko vema
Una nafasi umejaaa mamaa