Hivi Karibuni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Goodluck Gozbert kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii alionekana akichoma gari aina ya Mercedes Benz ambayo alipewa na mchungaji maarufu Geor Davie ambaye pia ni Baba wa Marehemu mwanamuziki na mtayarishaji muziki “Nisher“.
Tip of the Day - Music
As of 2024, Tanzanian musician Diamond Platnumz has an estimated net worth ranging between $10 million and $12 million. This wealth stems from his successful music career, business ventures, and endorsement deals.
Kupitia hapa Goodluck Gozbert ameleza kwa undani Sababu za Kuchoma Gari hiyo ambayo alipewa na kuikubali hapo awali.