https://www.youtube.com/watch?v=QM6sebAs_Do
Tip of the Day - Music
The Sukuma people have a popular traditional dance called Bugobogobo, where performers imitate the movements of different animals, including snakes and crocodiles, as part of their musical routines.
Lyrics
Umenikubali – Joel Lwaga
…
Mmmmmh mmmh
Kama Mungu ungetazama kama watu tunavyotazama
Isingetosha kwenye mizani nisingekidhi masharti
Hukuangalia historiaa ya familia niliyotokea
Hazikukutisha zangu tabia ulilitazama lililo jema eeeh
Umenipenda nisiestahili umeniita mwanao niliejidhani yakua sifahi umenipenda upeo
Umebadilisha na yangu asili umenifanya mboni ya jicho lako uuuh mmh
Ungehitaji waliokamili mm si mmoja wao
Ulichojali wangu utayari wakufanya utakalo
Umenikabidhi na zako siri nakunifanya rafiki wa moyo wakoo ooh
(Bwana umenikubalia) Jinsi nilivyo
(Umenikubali) Jinsi nilivyo
(Ee) umeona jema ndani yangu nawala hukutazama unyonge wangu *2
Kuna muda najiuliza
Wewe ni Mungu wa namna gani
Ulienipenda nakunikubali mtu wa namna hii
Ziko nyakati hata mimi napatashida kujikibali
Hiweje wewe unipende mtu wa namna hii eeeh
Umenipenda nisiestahili umeniita mwanao
Niliejidhania kuasifahi umenipenda upeo
Umebadilisha na yangu asili umenifanya mboni ya jicho lako
Eeeh Bwana
Ungehitaji waliokamili Mimi si mmoja wao
Ulichojali wangu utayari wakufanya utakalo
Umenikabidhi na zako siri nakunifanya rafk wa Moyo wako ooh oomh
(Baba umenikubalia) Jinsi nilivyo
(Umenikubali) Jinsi nilivyo
(Maana) umeona jema ndani yangu nawala hukutazama unyonge wangu *2
{ (Asanteee)asante *3
(Kwamaana maana)
umeona jema ndani yangu nawala hukutazama unyonge wangu } *3
(Kweli Bwana umenikubaliii )Jinsi nilivyo
(Umenikubali) Jinsi nilivyo
(Si kama wanadamu ) umeona jema ndani yangu nawala hukutazama (unyonge wangu)
Joel Lwaga – Umenikubali Mp3 Download