Tip of the Day - Music
The annual Ngoma festivals, held in different regions, showcase the rich diversity of Tanzanian music, bringing together traditional groups and modern artists in a celebration of dance and sound.
Killy ft Alikiba – Gubu mp3 download, Killy ft Alikiba – Gubu Mp3 Download, Killy ft Alikiba – Gubu Mp3 Download. Nyimbo Mpya za Killy, Nyimbo Mpya za Alikiba.
Killy ft Alikiba Gubu Lyrics
Hasira hasira za nini?
Naomba urudishe moyo wako nyuma
Naathirika mie
Kwa nini eeh kwa nini eeh?
Njoo tuzifute tofauti zetu
Mi nawe
Nisitokubali adhabu
Penzi ile silioni
Nimegundua ulinishusha daraja
Ulitie huruma dhahiri
Ukweli vile ulitangatanga kukicha
Nilikosa nini hunny?
Hadharani kumbe bado
Namshika mkono ambaye
Baba nani naye anajilia
Yoyoyoyo
Hata nani gubu la nini mama
Mama eeeeh
Kisiranii funzo usiofunzika
Mama oooh
Matatizo, gubu la nini mama eeh?
Matatizo, gubu la nini mama eeh?
Adhabu Killy
Kisa alivyonichanganya
Sioni sisikii
Nimejaribu nimekwama
Hata juzi juzi alilewa sana
Akalala bar vile vile
Mi nilimpenda kweli ooh
Oooh ooh ooh oo
Ni kama ana mapepo pepo
Ya baharini
Shida shida shida gani ooh
Hivyo ndo alivyo oooh
Hadharani kumbe bado
Namshika mkono ambaye
Baba nani naye anajilia
Ooh mama bora ooh
Hata ndani gubu la ringi
Mama mama eeeeh
Kisiranii funzo usiofunzika
Mama mwana maaa
Matatizo, gubu la nini mama?
Matatizo, gubu la nini mama?
Gubu la nini oooh
Aaaah, matatizo
Gubu la nini?
Mama eeh