Tanzanian entrepreneur and media mogul Francis Ciza, popularly known as Majizzo, has announced the launch of his latest venture “Jizo Sounds” a line of Bluetooth speakers. The product range includes three models Jizo 8, Jizo 6, and Jizo 4 each designed to deliver high quality audio experiences.
Tip of the Day - Music
As of 2024, Tanzanian musician Diamond Platnumz has an estimated net worth ranging between $10 million and $12 million. This wealth stems from his successful music career, business ventures, and endorsement deals.
Majizzo anafahamika kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya vyombo vya habari nchini Tanzania. Yeye ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa EFM Radio na TVE Tanzania. Kupitia majukwaa haya, amekuwa mstari wa mbele katika kukuza muziki wa ndani, hususan singeli. Kupitia EFM, Majizzo amewapa wasanii wa singeli kama Wakubwa kama Msaga Sumu, Dulla Makabila na hata wanaochipukia kama Misso Misondo fursa ya kujulikana kitaifa.
Uzinduzi wa Jizo Sounds unaashiria upanuzi wa Majizzo katika soko la vifaa vya kielektroniki, akilenga kutoa bidhaa za sauti zenye ubora kwa Watanzania.
For more information and updates on Jizo Sounds, follow their official Instagram handle @jizosound on Instagram.