Makanisa Mawili Yachomwa Moto Mkoani Ruvuma
Habari
Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi.
Kamanda wa Polisi wa mkoani Ruvuma ACP Joseph Konyo amesema wanamshikilia mtu mmoja kutokana na tukio hilo.
Chanzo: ITV
Related Topics:Habari
Click to comment