Msanii wa Bongo Fleva Marioo hivi leo Jumatano March 12 2025, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameonyesha nyumba ambayo anamjengea Mama yake mzazi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Marioo ameweka video yenye kuambatana na maneno.
Tip of the Day - Music
As of 2024, Tanzanian musician Diamond Platnumz has an estimated net worth ranging between $10 million and $12 million. This wealth stems from his successful music career, business ventures, and endorsement deals.
“Nikikumbuka Tulivyokuwa tunaishi Kwenye Kichumba Kimoja cha 15k Kwa Mwezi familia Nzima (Kiwalani Minazi Mirefu)Basi Naamini Utafurahi Kuishi hapa Mama yangu Kipenzi Ukiwa Kama Mama Mwenye nyumba Yako, Mungu Akupe Maisha Marefu Mama Vikubwa Vinakuja 🙏🏾 Dear Mama❤️”