Msanii wa Bongo Flava maarufu kama Mbosso ameondoka rasmi kwenye Label ya Muziki ya WCB Wasafi ambayo inamilikiwa na Diamond Platnumz.
Tip of the Day - Music
At the 2025 Trace Awards & Summit in Zanzibar, Tanzania, Nandy won Best Artist Tanzania, Diamond Platnumz won Best Global African Artist, and Zuchu also received recognition.
Kwa sasa Mbosso hajathibitisha hayo, lakini kwa mujibu wa Producer wa Label hiyo maarufu kama Laizer, Mbosso tayari ameshatoka rasmi kwenye Label hiyo.