Mpya ya Marioo Tujirekodi “Baltasar Ebang Engonga”

Msanii maarufu wa Bongo Flava, Marioo, ametangaza kuwa albamu yake mpya ya pili imekamilika kwa asilimia 99%. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, amekuwa akiwapa mashabiki taarifa za maendeleo ya albamu hiyo, akishiriki vipande vya nyimbo mbalimbali.

💡

Tip of the Day - Music

As of 2024, Tanzanian musician Diamond Platnumz has an estimated net worth ranging between $10 million and $12 million. This wealth stems from his successful music career, business ventures, and endorsement deals.

Leo, Marioo amechapisha video fupi ikionyesha kipande cha wimbo mpya “Tujirekodi” unaotarajiwa kuwemo kwenye albamu hiyo inayosubiriwa kwa hamu. Cha kufurahisha kwenye video hiyo, mbali ya marioo kuwa na Mpenzi wake Paula, video hiyo pia inaonyesha mtindo wa kucheza unaoiga meme maarufu mtandaoni ya “Baltasar Ebang Engonga“.

 

Scroll back to top of page
New
Artists
Genre
Search