JACKEE CHARLES Ametuletea Video Mpya ‘NAKUABUDU’. itazame
Kutokea Kenya mwimbaji mpya wa Nyimbo za Injili JACKEE CHARLES time hii ametuletea video mpya ya wimbo uitwao ‘NAKUABUDU’. Bonyeza play kutazama, Barikiwa!
Connect:
Instagram: @jackee_charles
Youtube: Jackee Charles