Tip of the Day - Music
The annual Ngoma festivals, held in different regions, showcase the rich diversity of Tanzanian music, bringing together traditional groups and modern artists in a celebration of dance and sound.
Download nyimbo mpya audio and video Uzuri kakupa mama, download Uzuri kakupa mama mp3 and mp4. Stream and Download Uzuri kakupa mama music on Nyimbo Mpya
Uzuri kakupa mama ruksa njidai
Harufu karafuu ya Zanzibar marashi ya Dubai
Aloh
Tunafanana kama nyota na mbalamwezi
Twaendana kutena pangea mwenyezi
Tunafanana kama nyota na mbalamwezi
Twaendana kutena pangea mwenyezi
Asa nibebe nikubebe
Domo zege nikatengede
Una utege, kiuno lege
Utetoboa shati na chuchu dede
Honey nakupenda, te quiero
Cover Song – Uzuri Kakupa Mama
Original Song – Uzuri Kakupa Mama