Msanii wa Bongo Flava maarufu kama Whozu, ametangaza rasmi kuwa sasa hayupo kwenye kundi na Recording Label ya TOO MUCH MONEY, ambayo inasemekana inamilikiwa na Wafanyabiashara Fred Vunjabei pamoja na Frank Knows. Whozu ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram muda mfupi ulipota.
Tip of the Day - Music
Former President Julius Nyerere heavily influenced the music scene by promoting traditional African music and values, embedding Tanzanian identity into songs and artistic performances.