https://www.youtube.com/watch?v=7luJN9sPhTI” frameborder=”0″ allow=”accelerometer; autoplay; clipboard-write; encrypted-media; gyroscope; picture-in-picture” allowfullscreen=””>
Tip of the Day - Music
Former President Julius Nyerere heavily influenced the music scene by promoting traditional African music and values, embedding Tanzanian identity into songs and artistic performances.
Lyrics
Naimba toka motema ooh baby usije nitema ×2
Verse
Baby I never thought they’d come a day ninge fall in love like this, I never thought they’d come a day ninge fall in love like this… ×2
Walahi this is love this is love this is love that I’m feeling, this is love this is love this is love that I’m feeling…
Baby niko sure nataka kuwa na wewe only you, niko sure nataka kuishi na wewe only you uuh…
Pre- chorus…
Imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba×2
Akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba ×2
Chorus…
Ooh baby na nakupenda, na na nakutaka ×2 and I can’t do without you nakupenda na na nakuta, and I can’t live without you nakupenda na na nakutaka. Ooh lala lalalalala, lalalalala Ooh lala lalalalala lalalalala…
Verse…
Jovi ona polisi anavolia mpaka mufungwa anamubembeleza. Kumbe mapenzi haitambui hata wenyu bunduki, inapepeta tu kama risasi. Kama water fall mapenzi yana tiririka mwilini mwangu, mapenzi ni ya wawili… nimalize nibaki kiwili wili.
Nimefall in love… nimefall in love, fall in love… nimefall in love×2
Pre- chorus…
Imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba×2
Akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba ×2
Chorus…
Ooh baby na nakupenda, na na nakutaka ×2 and I can’t do without you nakupenda na na nakuta, and I can’t live without you nakupenda na na nakutaka. Ooh lala lalalalala, lalalalala Ooh lala lalalalala lalalalala…
Download Willy Paul x Jovial LaLaLa Mp3 Download